Breaking News

KIKOSI CHA SIMBASC CHAWASILI ZANZIBAR SALAMA

Kikosi chetu kimewasili salama visiwani Zanzibar ambapo kitashiriki mashindano ya Mapinduzi lakini pia kujiandaa na michezo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #SSC #NguvuMoja




No comments