MATOKEO YA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA
Mechi zote za leo zimemalizika huku Salim Aiyee wa Mwadui FC akipiga ‘hat-trick’ ya tatu kwenye ligi msimu huu akiiongoza Mwadui FC kupata ushindi wa mabao 4-0.
Hat-trick nyingine msimu huu zimefungwa na Alex Kitenge aliyekuwa Stand United na Emmanuel Okwi wa Simba SC.
Mwadui FC 4-0 Kagera Sugar (Revocatus Richard 45’, Salim Aiyee 48’, 67’, 83’).
.
.
African Lyon 2-0 Stand United. (Jabir Azizi 61, Ramadhani Chombo 68’).
.
.
Biashara United 0-0 Singida United.
No comments