SIMBA IKABIZIWE KOMBE MECHI NA SINGIDA? MANARA ASEMA HAYA
Baada ya kucheza mechi 27 na kufikisha point 65 Club ya simba sasa ndio mabingwa wapya wa ligi kuu Tanzania bara
Baada ya kufanikiwa kutwaa kombe hilo msemaji wa simba haji s manara ameomba club hiyo ikabidhiwe kombe hilo baada ya mchezo wao na timu ya sinGiDa kuisha.
Lengo la Manara lilikuwa ni kupitisha kombe hilo kwenye baadhi ya mikoa wakati timu ikirejea Dar: "Tutaandaa utaratibu mkubwa wa kufurahia kombe Singida na namna ya kulirudisha Dodoma, Morogoro mpanga Dar".
lakini ayo yote yakiendelea kuusu kukabiziwa kombe mechi na singida
Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu Tanzania bara (TPLB) Boniface Wambura amesema hajapokea ombi lolote kutoka Simba wakitaka kukabidhiwa kombe uwanja wa Namfua Singida.
No comments