Breaking News

YANGA YAPANGUA KIKOSI KOMBE MAPINDUZI ZANZIBAR

Meneja wa Yanga,  Nadir Haroub 'Camavaro' amesema lengo lao ni ubingwa wa Ligi Kuu Bara na kutwaa Kombe la FA huku akisema hawaangalii kikosi cha Simba kilichokuja Zanzibar
Simba imeshusha kikosi kizima lakini wao wameleta wachezaji wengi kwenye mashindano ya kombea Mapinduzi huku waliowengi wanaocheza kikosi cha kwanza wakibaki Dar es Salaam na kocha mkuu, Mwinyi Zahera.
"Sisi hatuangalii wapinzani wetu wameleta kikosi gani,  tuna malengo yetu ya kutwaa ubingwa wa Bara na FA ndiyo maana wengine wamebaki Dar es Salaam
"Ili ushiriki mashindano ya Mabingwa wa Afrika na Kombe la Shirikisho ni lazima uwe bingwa wa nchi yako kwenye mashindano kama hayo na huku waliokuja ni Yanga tofauti na watu wanavyochukulia kwamba ni kikosi cha timu ya vijana," alisema Canavaro
Yanga inaanza kusaka ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kesho Alhamisi dhidi ya....

No comments